Wednesday, 14 September 2016

Drake na Kanye West wanafanya album ya pamoja

Najua kuna watu wangu wanaopenda kufuatilia updates za mastaa wakimataifa, na nikazi yangu kuhakikisha unapata updates hizo mtu wangu, Leo nakusogezea headlines zilizoshikiliwa na rappers Drake na Kanye West ambao ukizungumzia rappers bora duniani uwezi kuacha kuwataja na kila siku wanafanya vizuri kwenye game.

Goodnews! kwa mashabiki wa Rappers hawa wawili, Drake anaemiliki album ya ‘Views’  na Kanye west album ya ‘The life of Pablo’, hivi karibuni wameamua kutoa album ya pamoja, kaa tayari mtu wangu Album ipo njiani Millardayo.com inahakikisha hupitwi na chochote.

kanye-drake-drawn

No comments:

Post a Comment