VIDEO: Smart Card zitakavyofungua milango ya Electronic Taifa
Jumapili Septemba 11 2016 waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezoNape Nnauyekwa niaba ya waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMajaliwa Kassim Majaliwaamezindua rasmi matumizi ya tiketi za kielektroniki katika uwanja mkuu wa taifa.
No comments:
Post a Comment