PICHA 5: Miss anayetajwa kuwa ni mpenzi mpya wa Ronaldo
Staa wa soka waReal Madridna timu ya taifa yaUrenoCristiano RonaldoSeptemba 19 2016 ameingia kwenye headlines na miss wa zamani wa Hispania Desire Cordero, staa huyo ambaye amewahi kushinda tuzo tatu zaBallon d’Orameandika na jarida laCorazonkuwa wapo katika mahusiano na Desire Corderokama mwezi mmoja sasa.
Taarifa hiyo ambayo inaeleza kuwa Ronaldo aliwasiliana na Desire Cordero kupitia instagram kiasi cha mrembo huyo kwenda katika jiji la Madrid kukutana na Ronaldo, kama taarifa hizo zitakuwa ni kweli Ronaldondio atakuwa anarudi katika mahusiano rasmi baada ya kuachana na Iryn Shayk.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Ronaldo amewahi kuripotiwa toka awe maarufu kuwa katika mahusiano na wasichana zaidi ya 15 kwa nyakati tofauti. HAPA
No comments:
Post a Comment