Thursday, 15 September 2016

Video: Jibu la Yemi Alade kuhusu ku fake life

Mimi sijawahi ku fake life alafu usidanganye vitu ambavyo sio vyako kama muda wako haujafika subiri kuna siku muda wako utafika wa kujionyesha kwa mfano mimi siwezi nikapiga picha kwenye Feralli alafu nikapost ni kasema ni la kwangu wakati sina‘ Yemi Alade


No comments:

Post a Comment