Kupitia mtandao wa Instagram wa meneja wa msanii huyo, Seven Mosha ameweka picha ya msanii wake huyo na kuandika ujumbe unaosomeka, “The King @officialalikiba is set to perform at the MTVAfrica Music Awards 2016 .”
Pia MTV Base wameandika: Yes,@OfficialAliKiba to bring that HEAT to the stage
Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome,
Jumamosi ya Oktoba 22, mwaka huu. Wasanii wengine wanaotarajia
kutumbuiza kwenye tuzo hizo ni pamoja na Yemi Alade, Nasty C, Babes
Wodumo na wengine wengi. Kwa mwaka huu tuzo hizo zina vipengele 18
ambavyo wasanii kutoka nchi mbalimbali za Afrika watawania.
No comments:
Post a Comment