Monday, 1 August 2016

VIDEO & PICHA ya ndege iliyotengenezwa kutumika 2030

Ndege hii itakayo kuwa na uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 800 pia yenye uwezo wa kujitengenezea umeme wake   wakati inapaa angani kwa kuwa na vipande vya solar kwenye mabawa yake, pia ina sehemu tatu tofauti kwa ajili ya kukaa marubani.

Zaidi kwenye ndege hii itakua na ofisi pamoja na vitanda kwajili ya kundi la ndege hiyo pamoja na engine 5, pia itakua haina kelele kwa asilimia 75 na haitatoa hewa chafu kabisa , nakusogezea picha na video za ndege hii na wewe ujionee mtu wangu pia

35-43

nd

ndee

ndegegege

ndegg

ndelel

ndg

dwnld

download


No comments:

Post a Comment