VIDEO & PICHA 8; magari yenye uwezo wa kupaa kama ndege
Najua umezoea kuona magari yanayotumika barabarani mtu wangu ila leoJuly 30 2016nakusogezea magari yenye uwezo wa kupaa kama ndege ambayo tayari yanatumika katika nchi kamaMassachusetts Marekani naSlovakia Hungary.
Mtu wangu nakusogezea Video na Picha ya magari haya na wewe ujionee pia usisahau kuniachia comment hapo chini.
No comments:
Post a Comment