Ni kazi yangu kukusogezea stori za mambo mbalimbali ambayo unatakiwa ufahamu mtu wangu, Leo August 2 2016 nakusogezea mabasi haya yenye muonekano kama wa nyumba kwa ndani, mabasi haya yanatumika nchi kama Marekani na Malaysia pia ndani ya bara la Ulaya.
Unaweza kutazama Video na Picha za mabasi haya na wewe ujionee, pia usisahau kuniachia comment yako.
No comments:
Post a Comment