VIDEO: Mchekeshaji Erick Omondi kairudia ‘Aje’ ya Alikiba na kuifanyia
hii video.
Erick Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu Tanzania kutokana na utundu wake wa kuigiza nyimbo za Diamond kwenye video kama vile ‘nasema nawe’, sasa hapa kaifanyia remix ‘Aje’ ya alikiba, unaweza kuangalia video hii hapa chini.
No comments:
Post a Comment