Ni kazi yangu kukusogezea kila kitu kinacho trend duniani mtu wangu, Najua umeshakutana na majengo mazuri na yakuvutia lakini hili mtu wangu ni la aina yake ni jengo ambalo limetajwa na vituo vikubwa vya habari kama CNN na Aljazeera litakalozinduliwa August 4 2016 Brighton Uingereza.
Daraja hili lina uwezo wa kusogea kutoka chini kwenda juu, lina urefu wa futi 531 kwenda hewani na ndio jengo refu duniani lenye uwezo wa kusogea na limevunja rekodi ya dunia.
unaweza kuitazama video ya jengo hilo nimekuekea hapa chini
No comments:
Post a Comment