Friday, 5 August 2016

Ninayofuraha kukuletea hii video mpya ya Christian Bella 'Nishike'

Christian Bella amerudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kuachia rasmi video ya single yake mpya iitwayo Nishike.ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako mkali huyo atapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.


No comments:

Post a Comment