Time ya kuenjoy hii single mpya ya Chege akiwa na Diamond Platnumz...
Hii ni mpya kutoka kwa Staa wa bongo fleva kutokea kundila TMK Wanaume family, Chege ambae leo August 3 2016 ametuletea hii single mpya aliyomshirikishaDiamond PLatnumzwimbo unaitwa ‘waache waowane’.
No comments:
Post a Comment