Mtu wangu ni fahari kuzitazama video za Tanzania zinavyoendelea kupata airtime katika vituo vikubwa vya TV na tunafahamu kuwa Trace TV na Mtv Base ni moja kati ya vituo vikubwa vyaTV Afrika, na ndio maana inawapa hamasa wasanii wa nyumbani kufanya video yenye viwango vya kimataifa.
Naanza kukusogezea list ya video ambazo zimechezwa kwenye vituo vikubwa vya TV Afrika, Trace TV na Mtv Base.
No comments:
Post a Comment