Ni Sept 13, 2016 ambapo muunganiko wa ladha mbili kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva utagusa headlines za burudani baada ya msanii Baraka The Prince kuachia single yake mpya aliyomshirikisha msanii Alikiba, wimbo umepewa jina la Nisamehe.
Tarehe hiyo imethibitishwa na Baraka The Prince kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter
No comments:
Post a Comment