PICHA & VIDEO: Priyanka chopra, Taraji walivyotokelezea kwenye tuzo za
Emmy 2016
Emmy Awards ni tuzo zinazotolewa kwa mastaa wa filamu kila mwaka, Na ninafahamu kuna watu wangu ni wapenzi kufatilia tuzo kama hizi za mastaa wa filamu mbalimbali za nje.
Usiku wa September 18 2016 zimetolewa tuzo za 68 za Emmy ndani ya Microsoft Theater, Downtown LosAngeles Marekani ambazo zimeshikilia headlines kwenye mitandao mbalimbali kama ulikosa kuona ilivyokuwa kwenye tuzo hizi nakusogezea picha za mastaa jinsi walivyotupia kwenye Red carpetusiku wa Tuzo hizo.
Ariel Winter staa wa kwenye movie ya “Modern Family”
Kristen Bell staa wa filamu ya “Good Place”
Priyanka Chopra staa wa filamu ya “Quantico”
Taraji P. Henson staa wa filamu ya ‘Empire’ anayfahamika kwa jina la ‘Cookie’
Trevor Jackson dancer, songwriter pia staa wa filamu ya American Crime
Paul Sparks staa wa filamu ya ‘In the Radiant City’
Anthony Anderson, comedian staa wa filamu ya Barbershop
Sophie Turner staa wa kwenye filamu ya ‘Game of Thrones’
Nimekuwekea na video ya waliyovaa vizuri kwenye red carpet ya tuzo hizo, unaweza kuitazama hapa chini
No comments:
Post a Comment