Baada ya Shilole kujichora tatoo ya Nuh Mziwanda enzi alipokuwa
mpenzi wake, mpenzi mpya wa muimbaji huyo wa ‘Jike Shupe’, naye
kajichora tattoo ya Nuh kwenye mkono wake.
Shilole alichora tatoo lakini baadaye ilikuja kumgharimu walipo
achana Nuh. Matokeo yake tatoo hiyo iliyokuwa kifuani Shishi
aliibadilisha na kuwa ua, je na huyu naye itakuwaje?
Msichana huyo amejichora kwenye mkono wake ‘NUH MZIWANDA.’ Bado hata hivyo Nuh ana tattoo ya ex wake Shishi.
No comments:
Post a Comment