VIDEO: Dogo wa miaka 10 kasajiliwa na Juventus anatabiriwa kuwa kama
Messi
Klabu yaJuventusyaItaliaimeoneshwa kuvutiwa na uwezo wa kucheza soka wa mtoto wa miaka 10 Rashed Al Hajjawi raia wa Palestinaaliyezaliwa na kukuliaNorwaykutokana na kipaji chake.
Rashed Al Hajjawi ambaye video yake imeonekana katika mitandao hivi karibuni Juventus wameonesha dhamira ya dhati ya kuanza kuhitaji huduma ya mtoto huyo ambaye anatazamiwa kuja kuwa kama mshambuliaji wa FC BarcelonaLionel Messi.
No comments:
Post a Comment