Mshindi wa Trace Music Star aliyeiwakilisha poa Tanzania kwenye mashindano hayo na kuibuka kifua mbele, Mayungaalifika studio za TZA na kupiga exclusive interview, siku moja kabla ya safari yake Marekani !!
Zilipigwa stori nyingi sana, ikagusiwa safari yake ya Marekani, kurekodi audio na video pamoja na Akon, zile milioni 50 alichofanyia mpaka sasahivi… hizo na nyingine zote ziko kwenye video ya dakika 11 za Mayunga

No comments:
Post a Comment