Sunday 11 September 2016

Tazama familia zilivyolala nje usiku huu Bukoba zikiogopa tetemeko kurudi

Tetemeko hilo la pili ambalo ni dogo halijaripotiwa kusababisha majeruhi au vifo mpaka usiku wa saa nane lakini limeleta hofu kwa wakazi wa Bukoba ambao baadhi wameamua kutoa magodoro nje ya nyumba zao na kulala kwa kuhofia tetemeko linaweza kutokea tena usiku na kuwakuta ndani ya nyumba zao.


No comments:

Post a Comment