Friday, 20 November 2015

Dakika tatu za Waziri Mkuu Majaliwa kwenye jukwaa la kiapo Dodoma mbele ya Rais Magufuli... (+Video)

Ile list ya uongozi utakaoendesha Serikali ya awamu ya tano Tanzania inayoongozwa na Rais Dk. Magufuli inaendelea kukamilika ambapo jana November 19 2015 jina la Waziri Mkuu mteule liliingia ndani ya Bunge Dodoma likiwa ndani ya bahasha tatu kutoka Ikulu.

VIDEO0044_0000004063

Aliyeteuliwa na kuthibitishwa kuwa Waziri Mkuu kwa Kura za Wabunge ni Mbunge wa RuangwaMajaliwa Kassim Majaliwa… leo amekula kiapo na tayari ameingia kwenye historia ya kuwa Waziri Mkuu wa 11 Tanzania… video yake hii hapa kutoka SIMU. Tv.


No comments:

Post a Comment