Friday, 20 November 2015

Rihanna anakuletea muonekano wa album yake mpya, 'ANTI' kwenye hizi sekunde 16! - (Video)

Wiki chache zilizopita msanii wa Popkutoka MarekaniRihanna aliweka headlines nyingi sana baada ya kuiweka wazi cover ya Album yake ya naneANTI inayotegemea kutoka November 27 kwenye TIDAL lakini kwenye mitandao mengine  albu hiyo itaanza kupatikana kuanzia tarehe 4 December 2015.

ririi

Tarehe 19 November 2015Rihannaaliisogeza #teaser ya Album yake mpya, na kupitia page yake ya Twitternilikutana na tweet ya Rihanna inayosema, “Ninafuraha ya kushare hiki na nyie!! “, tweet iliyoambatana pia na link itakayokupeleka moja kwa moja kwenye website yake mpya,  ANTIDiaRy.com.

RIRII

Mpaka sasa Rihanna ameshazisogeza kwetu video tatu kutoka kwenye Album yake mpya, ‘FourFiveSeconds’ (Feat.Kanye West), ‘BBHMM’ na ‘American Oxygen’. Single nyingie zitakazopatikana kwenye Album hiyo ni pamoja na ‘James Joint (Interlude), ‘Higher’, ‘nothing’s Promied, ‘Kiss It Better’, na ‘Only if for a Night’.


No comments:

Post a Comment