Friday, 8 May 2015

Mwimbaji gani wa Afrika Mashariki kanunua hii Audi? pichaz na video akiliendesha ziko hapa

Audi 1
Mastaa wa Afrika Mashariki wanaotajwa kuwa na magari ya kifahari ni wachache akiwemo                               Jaguar wa Kenya ambae ana Range Rover pamoja na Jaguar yenyewe.

  Mmiliki mwingine wa headline hizi kwa kitambo ni Jose Chameleone ambae amechukua                               headline kwenye awamu hii tena kwa kumiliki gari aina ya Audi ambazo zimekua                                      zikitengenezwa na Mjerumani toka miaka hiyo ya 1932.

        JChameleone 1

No comments:

Post a Comment