Kwenye hii post aliandika ‘State House tym Hii..
Super star kutokea Tanzania Diamond
Platnumz usiku wa April 29 2015 aliamua kuonyesha upande mwingine wa
nyumba yake aliyoijenga Dar es salaam ambapo alipost post zaidi ya moja
kwa kile kinachoonekana kuwa ni baada ya kukasirishwa na comment ya
follower wake Instagram.

Post iliyofata baada ya hii aliandika ‘Crazy Us Tafta kopo Ujiandae Kutapika maana Ndimu Zishakuzoea…. #StateHouseByNight‘
No comments:
Post a Comment