Bondia Floyd Mayweather anatajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye utajiri mkubwa duniani kupitia kazi yake ya ubondia na haoni tatizo kuzitumia kufanya kile ambacho amekusudia au kuziringishia pesa kwa kuzipiga picha.
Sasa pamoja na utajiri wa magari
aliokuwa nao Mayweather ameamua kumnunulia binti yake wa kike mwenye
miaka 14 gari ya kifahari aina ya Rolls Royce yenye thamani ya dola za Kimarekani laki nne.
Binti yake Obi Okeke alifafanua kuwa baba yake alimwita
na kumwagizia gari hiyo huku akisema itakuwa ikisimamiwa na mama yake
lakini mtoto huyo atakua huru kuitumia.wakati wote.
Mayweather na mtoto wake.
No comments:
Post a Comment