Staa wa muziki kutoka Marekani Beyonce, amesherehekea birthday ya kutimiza miaka 35, na alifanya party ambayo alialika familia marafiki na mastaa wenzake .Utofauti mkubwa wa birthday hii na nyingine zilizopita kwake ni mavazi ambayo mastaa walichagua kuyavaa kwenye party hiyo.
Baadhi ya mavazi yaliyovaliwa na mastaa kwenye party hiyo yanafananishwa na mionekano ya watu wa miaka ya 1970. Kuanzia Beyonce, Jay Z mumewe pamoja na mastaa wengine, kama Kelly Rowland, Usher Raymond, Jannel Monae, Alicia Keys na mumewe Swizz beatz pamoja na wengine.

Beyonce

Beyonce na Jay Z wakiingia kwenye Party

Solange

Janel Monae

P-Diddy na Cassey

Jay Z na Usher

Beyonce

Kelly Rowland

Alicia Keys na Swizz beatz
No comments:
Post a Comment