Behind the scenes: Video ya Dully Sykes 'INDE' ft Harmonize
Siku chache zilizopita nilikusogezea video mpya ya single yaDully Sykesiitwayo INDE aliyoshirikishwa msanii kutoka WCB, Harmonize sasa leo wametuletea hii behind the scenes ya video hiyo kuona jinsi ilivyokuwa katika uandaaji wa video hiyo mpya.
No comments:
Post a Comment