Thursday, 2 June 2016

‘Wema Sepetu Mobile Application’ yaanza kulipa

Baada ya kuzindua App yake hivi karibuni, malkia Wema Sepetu ameanza kuingiza mkwanja.

Wema

Hivi karibuni muigizaji huyo alizindua huduma yake ya ‘Wema Sepetu Mobile Application’ itakayomfanya kuwa karibu zaidi na mashabiki zake.

Akiongea kwenye kipindi cha Kubamba, kinachoruka kupitia Times FM, Wema alisema, “Na focus kwenye kazi kama Magufuli anavyosema, app yangu nashukuru nimeona mapokeo na imeanza kuniingizia fedha nzuri tu.”

No comments:

Post a Comment