Video ya ‘Kamatia’ ya Navy Kenzo yafikisha views milioni moja
Video ya mpya ya Navy Kenzo ya wimbo wao “Kamatia” imeweza kufikisha
views milioni moja ndani ya miezi minne na kuiacha video ya wimbo wa
awali wa GAME wa kundi hilo.
Hii inaonyesha kuwa video hii ya “Kamatia” imekuwa na nguvu zaidi
bila hata ya promo na hii inakuwa ni video yao ya kwanza kufikia rekodi
hiyo kuliko video zao zote waliowahi kutoa.
No comments:
Post a Comment