Perfect Crispin ni mtangazaji wa
Clouds FM ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva, ambapo leo
June 1 2016 ametusogezea hizi stori tatu ikiwemo ya utaratibu ambao
Alikiba kaandaa kwa ajili ya kuanza kuwafollow followers wake.
“Nipo na utaratibu wa kuanza
kuwafollow followers wangu kwa ajili tu ya kushow love na kila siku
itakuwa na utaratibu wake kwa wiki labda nakuwa na mfollow mtu mmoja
halafu namtoa angalau watu waone kama kuna mtu fulani nilimfollow ila
lazima awe shabikiwa Alikiba”
No comments:
Post a Comment