Friday, 12 February 2016

Mabibi na mabwana Mdundo mpya wa Diamond Platnumz & AKA huu hapa....(+Video)



Muunganiko wa radha mbili tokea nchi tofauti umekamilika kwa kuwakutanisha mastaa Diamond Platnumz na AKA kutokea Afrika Kusini kisha kuuleta huu mdundo wa ‘Make me Sing’

Unaweza kuitazama video nzima hapa chini


No comments:

Post a Comment