Tuesday, 8 December 2015

Video ya dakika 2 yenye tathmini ya siku 30 za Rais Magufuli ndani ya Ikulu..

Naomba zianze na hizi rekodi kuweka mambo sawa mtu wangu >>> Tume ya Uchaguzi NEC ilimtangaza Rais Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha Urais siku ya October 29 2015, siku nne baada ya Uchaguzi mkuu wa Tanzania kufanyika.

Wiki moja baadae akaapishwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kukabidhiwa rasmi  Ikulu kuiongoza Tanzania kwa awamu ya tano.

MAGUFULI II

Mengi yametokea hapo katikati, ninayo hii ripoti ya video ya dakika 2 na sekunde 40 ya BBC ilivyoichambua kazi, moto na kasi ya Rais Magufulikazini.


No comments:

Post a Comment