Wasanii Dayna na AT hawakumpgia kura Dr. magufuri? wanasemaji sasa hivi?
Wasanii wa bongofleva Dayna Nyangepamoja na AT ni miongoni mwa watu ambao hawakumpigia kura Rais Magufuli kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 lakini kinachoendelea kwenye serikali ya Dr. Magufuli sasa hivi wanakiona, pamoja na hayo yote wanasemaje?
No comments:
Post a Comment