Tuesday, 8 December 2015

Umeiona video mpya ya Belle 9 'Burger Movie Selfie'? ninayo hapa......

Belle 9 baada ya kutambulisha rasmi single yake mpya Burger Movie Selfiekatika vituo mbalimbali vya radio Dec 7 2015,  sasa time hii pia ametusogezea na video mpya ya single hiyo.

Kwa mujibu wa msanii huyo ni kwamba video imeshutiwa Morogoro na director GQ wa Morogoro, itazame hapa.


No comments:

Post a Comment