Tuesday, 8 December 2015

Kwa wale mashabiki wa JB na Wema Sepetu.....hii ndio movie mpya itakayokuwa sokoni

Muigizaji, mtayarishaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen aka JB anatarajia kuachia filamu mpya wiki ijayo iitwayo Chungu cha tatu

Filamu hiyo iliyotayarishwa chini ya kampuni ya Jerusalem Film imeigizwa na wasanii mahiri akiwemo JB, Pancho Mwamba, Wema Sepetu, Almas Said na wengineo

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram aliwahabarisha mashabiki na kuandika hivi..’Wadau na wapenzi wa filam zetu napenda kuwatangazia kuwa filamu yenu ya chungu cha tatu itakuwa sokoni tarehe 14-12-2015 ..jumatatu ijayo..endeleeni kuangalia filamu za Jerusalem …..sitawaangusha’- JB

No comments:

Post a Comment