Thursday, 3 December 2015

Mzee Yusuph amesafiri hadi South Africa ku-shoot video mpya

Imekua kawaida kwa wasanii wa Bongoflava kutoka nje ya Tanzania ku-shoot video zao lakini hii itakua ni mara ya kwanza kwa msanii wa modern taarabu kusafiri hadi South Africa kwa ajili ya video.

Mzee Yusuph hivi sasa yupo South Africa aki-shoot video na kampuni ya huko ambapo inategemewa kuwa ni video yake ya kwanza kufanyia huko.

Kiongozi wa huyu wa Jahazi Modern Taarab amewai kufanya collabo na wasanii wa bongoflava kama Chidi Benz na pia ali-post picha akiwa studio na Vanessa Mdee.

Hizi ni baadhi ya picha akiwa location ku-shoot video hiyo.

1

2

3

4

5

6

No comments:

Post a Comment