Thursday, 3 December 2015

Maneno ya director Hanscana kuhusu kukutana na God Father & Justin Compos....

Siku zote nitahakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa stori ninayotaka kukupatia ni hii Muongozaji na mtayarishaji wa video Hanscana ambaye alikuwa nchini Afrika Kusini.

Mtayarishaji huyo amezungumza exclusive interview kuhusu kukutana na madirector wakubwa…’South Africa nilienda kwa mambo yangu ila nilifanikiwa  kukutana na madirector wakubwa kama God Father Justin Compos na Nick aliyefanya video ya Doro Bucci, tukabadilishana mawazo yetu kuwa tufanye kitu gani ili kazi zetu ziweze kukuwa zaidi katika bara la Afrika hata Dunia nzima‘>>>Hanscana

.

.Hanscana akipewa maujuzi na director Justin Compos ambaye ni producer wa kampuni ya Gorilla Films

‘Sana sana ni kwamba nikufundishana biashara yaani namna ya kufanya biashara, kubadilishana ma Software za hapa na pale..pia nikajifunza jinsi gani wanavyosukuma kazi zao unajua mwisho wa siku inabidi tufikishe muziki wetu katika level fulani nzuri’>>>Hanscana

.

.

HABSSSS 2222

.Hanscana akiwa na director God Father

.

No comments:

Post a Comment