Mdogo wa Prof. Jay hapendi siasa, alimsapoti kaka yake? uchaguzi wa
2020 je? Kajibu yote..
Black Rhyno ni mdogo wa msaniiProfessor Jayambaye kura za watu wa Mikumi October 25 2015 zimemthibitisha kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kwa miaka mitano… unajua kwa nini hakuwa naProfessor Jaykwenye Kampeni? hapendi siasa? atakuja kubadilika baadae?
No comments:
Post a Comment