Audio: Hotuba yote ya Rais Magufuli bungeni Nov 20, mipango yake,
safari za viongozi na mengine.
Ni hotuba aliyoitoa wakati akilifungua rasmi bunge la kumi na moja ambapo alieleza mipango ya serikali yake na jinsi atavyofanya kazi kwa utofauti, matumizi ya pesa kwenye safari za viongozi nje kwenye awamu iliyopita na mengine.
No comments:
Post a Comment