Thursday, 19 November 2015

Hii ndio zawadi ya Floyd Mayweather kwa mtoto wake aliyetimiza miaka 16...


Bondia maarufu duniani Floyd Mayweather amekuwa haishiwi headlines kila wakatu na mara nyingi zimekuwa zikihusisha utajiri wake.

Hii nyingine Mayweather ameamua kuonyesha jeuri nyingine ya pesa baada ya mwanaye Koraun ambaye ametimiza miaka 16 ameamua kumnunulia gari la kifahari aina ya Mercedes Benz C class yenye thamani ya dola 30,000.

Hii ndio zawadi inayothaniwa kuwa ya gharama zaidi kwa staa huyo kuweza kumpa mtoto wake tangu alipotengana na mama yake.

 

Happy birthday @KingKoraun Amir Mayweather. Love you, Champ. Follow my son: @kingkoraun

A photo posted by Floyd Mayweather (@floydmayweather) on 

No comments:

Post a Comment