Juma Nature kashirikishwa kwenye hii chorus ya Riz ‘sidanganyiki’ (new video)
Juma
Nature, mkongwe mwingine wa bongofleva mwenye tuzo ya kudumu ya heshima
kwa ubunifu wa chorus ameshirikishwa kwenye single mpya na Riz Conc
kupitia kwenye mikono ya producer Dupy ambaye amefanya kazi pia na watu
kama Izzo B.
No comments:
Post a Comment