Wednesday, 1 July 2015

GoodNews ni hapa ilipofikia video ya #NusuNusu ya Joh Makini kwenye Chati ya MTV Base.. (Video)



                     eeeeeee                     Rapper anayewakilisha kundi la Weusi, Joh Makini anazidi kupanda chart baada ya video ya wimbo wake‘Nusu Nusu‘ aliyomshirikisha G Nako kushika namba moja kwa sasa kwenye  ‘Official African Chart‘ ya Kituo cha Television cha MTV  Base.      



          rrrrrr  

Hii kitu imempa furaha kubwa Rapper Joh Makini, akapost picha na maneno haya kwenye ukurasa wake @Instagram >>> “Men lie woman lie numbers don’t No.1  official african chart  mtv base africa NusuNusu  Ishi Ndoto Yako  Mungu Ni mwema kukosoa ni kazi rahisi ngumu nikuwa hapa i see me international i do it for hip hop GODENGENEERING..“–@joh_makini



           ttttttttttttttttttttttttt


  Huu ni wimbo wa kwanza wa Joh Makini kuwahi kuingia kwenye chart hizo na kushika namba MOJA !!

                                                                      

                      

No comments:

Post a Comment