Thursday, 7 May 2015

Kilichonaswa na camera za AyoTV kuanzia Diamond na Zari wanapita red carpet White Party!

May 1 2015 kulifanyika party iliyosubiriwa, party ya kwanza Tanzania
kuandaliwa na Msanii wa bongofleva na ikawa na kiingilio cha bei kubwa
na bado ticket zikaisha, ticket za gharama zilikua za milioni tatu na
zilikua 10 na zilinunuliwa ndani ya dakika 300. 

No comments:

Post a Comment