Thursday, 7 May 2015

Huddah alipopita kwenye studio ya Millard Ayo, alianzia wapi? kwanini hakutokea White Party baada ya kufika Dar?

Huddah ni mrembo kutokea Kenya ambapo umaarufu wake ulipata uzito mkubwa baada ya kuiwakilisha nchi yake kwenye shindano la Big Brother Africa, May 3 2015 alipita kwenye studio za Millard Ayo Dar es salaam na kufanya hii Interview, hii ni Part 1, part II itafata hivi karibuni akielezea ukweli wake na Prezzo pamoja na kinachompa pesa.

No comments:

Post a Comment