Mkali na Hit Maker wa mdundo wa ‘My Life‘ Dogo Janja leo August 26 2016anatualika kuitazama video yake mpya ya ‘Kidebe‘ Mdundo ambao umefanywa chini ya Producer Maco chali, video imefanywa chini ya Director Hanscana.
Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa na Mkali huyu kutoka Bongoflevani ataiona hapa.
No comments:
Post a Comment