
Usiku wa Jumanne, Drake alionekana kwenye mitaa ya Los Angeles akiwa ameambatana kwa karibu na mwanamitindo huyo [Hailey Baldwin] wakiwa kwenye mgahawa wa Ysabel.

Hata hivyo hivi karibuni Drake amehusishwa kurudiana na aliyekuwa ex wake, Rihanna na mpaka kumvalisha kumvalisha pete.
No comments:
Post a Comment