Vanessa Mdee na msanii wa Ufaransa, Lylah wanatarajia kuja na wimbo utakaozikutanisha Bongo na Ufaransa kimuziki.

Lylah ni msanii maarufu wa R&B na Zouk nchini Ufaransa. Wawili hao wameshare ujio wa single ya kupitia Instagram.
“New Heat Coming #France #Tanzania can’t wait for you to hear it.
Much love for my beautiful talented sister girl @lylahoriginal,”
aliandika Vanessa kwenye picha akiwa na msanii huyo aliyoiweka
Instagram.

Lylah amewahi kufanya vizuri na wimbo Mine aliomshirikisha msanii wa Nigeria Lola Rae
“Very good memories with my @vanessamdee my honey a talented singer,
beautiful woman #tanzania #france #blackwomeninbusiness #blondehair
@vanessamdee,” aliandika msanii huyo kwenye mtandao wa Instagram.
Bado hawajesema wimbo huo unaitwaje na utatoka lini
No comments:
Post a Comment