Wednesday, 2 December 2015

Wajue wasanii watano walioshika nafasi za juu kwenye 'Top 50 Best Albums 2015'!

Kwenye list ya wasanii ambao mwaka huu umekuwa poa sana kwao, huwezi kuacha kumtaja Kendrick Lamarkwenye list yako… Nimekutana na stori kwenye mtandao wa Rolling Stone ambao wenyewe umeitaja Album ya To Pimp A Butterfly ya Kendrick Lamarkama Album bora zaidi kwenye list yao ya Top 50 Best Albums of 2015.

rolling2

Kendrick Lamar.

Album ya tatu ya Kendrick Lamar, Musically, Lyrically and Emotionallyimetajwa kama Best Party Album for 2015 huku Album mpya ya Adele, ’25’imeshika nafasi ya pili kwenye orodha ya Top 50 Best Albums of 2015, Album ya Drake; ‘If You’re Reading This Its Too Late’ imefanikiwa kuingia kwenye tano bora ikiwa inashika nafasi ya 3 kwenye Top 50 Albums for 2015.

rolling3

Adele & Drake.

Album nyingine za Hip Hop na R&Bzilizofanikiwa kutajwa kwenye Top 50 Best Albums for 2015 ni pamoja na Album ya Future; Dirty Sprite 2 (DS2)Wildheart ya Miguel na Reality Showya Jazmine Sullivan.

rolling4

Future, Dirty Sprite (DS2): Top 50 Best Album for 2015.


No comments:

Post a Comment