Tuesday, 8 December 2015

Video: Nay wa Mitego >>> 'Sikumpigia kura Rais Magufuli ila....'

Nay wa Mitego ni msanii wa bongofleva ambaye wakati wa kampeni za Urais Tanzania mwaka 2015 alihusika kumpigia kampeni Mgombea Urais Edward Lowassa wa UKAWA, Nay amekaa kwenye Exclusive na Millard Ayo na kueleza anayoyaona kwa Magufuli.


No comments:

Post a Comment