Wednesday, 2 December 2015

Quick Rocka katuletea hii zawadi ya mwisho wa mwaka (new video)

Video nzuri za bongofleva mwaka 2015 zinazidi kutufikia ambapo Dec 2 2015 Quick Rocka ametusogezea hii ya Queen ( Nakupenda ) ambayo imetokea kwenye mikono ya Director Khalfan.

No comments:

Post a Comment