Tuesday, 8 December 2015

Kwa wale damdam na muziki wa Jux, karibu uenjoy na mpya yake >>- 'One More Night' (Audio)

Kwenye list ya mastaa ambao wanafunga mwaka 2015 wakiwa ndani ya list ya wale ambao midundo yao imefanikiwa kupenya na kukubalika kwenye TV za kimataifa, jina la Jux limo !!

Jux

Ngoma ya ‘Looking for You‘ Feat. Joh Makini ni moja ya zinazopigwa kwenye TV hizo ikiwemo kubwa ya Trace Urbanya Ufaransa… Jux kaitambulisha nyingine kutoka kwake, unaweza kuisikiliza ‘One More Night‘ kwa kubonyeza link ya Mkito hapahapa >>> Jux- One More Night

No comments:

Post a Comment